SIMBA YAZIDI KUNG'ARA MSIMU HUU


    Image result for kikosi cha simba 2016
  1. Image result for kikosi cha simba 2016 
  2. Timu ya Simba sport club imezidi kufanya vizuri katika msimu huu wa pili kwa kuongoza kuwa na pointi 44 ikiwaacha watani wao wa jaji nyuma wakiwa na pointi 40 huku azam fc wanarambaramba wakiwa na pointi 30.
  3. Wekundu hao wa msimbazi wameahidi kufanya vizuri msimu huu na kuweza kurudisha heshima yao iliyopotea tangu mwaka 2012.

Comments