PICHA 3 ZA MAGUFULI ALIZOTEMBELEA KIBANDA ALICHOKUWA ANASAFISHIWA VIATU


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa nyumbani kwao ametembelea eneo maarufu kama Stendi za zamani Chato mkoani Geita.

Rais Magufuli amefika katika kibanda ambacho alikuwa akisafishiwa viatu vyake kabla ya kuwa Rais, pia ni sehemu ambayo alikuwa akipenda kukaa na kubadilishana mawazo na wakazi wa Chato wakati akiwa mapumzikoni kipindi cha Nyuma.
2
1

Comments