NDEGE YA MIZIGO YA UTURUKI YAPATA AJALI

Ndege ya mizigo ya uturuki  imeanguka huko Kyrgyzstan wakati ikitokea Hong Kong.
Ajali ya ndege hiyo aina ya Boeing 747 imepelekea vifo vya watu wasiopungua 32.

Comments