MASTAA WA KRC WAKICHEZA NYIMBO YA MUZIKI YA DARASA HUKO HISPANIA

Timu ya KRC Genk inayochezewa na mtanzania Mbwana Samatta kwa sasa ipo Hispania kwa ajili ya kambi ya muda mfupi ya maandalizi yao kwa ajili ya michezo yao ya Ligi Kuu na Europa League.

KRC Genk wakiwa Hispania walikoweka kambi mtanzania Mbwana Samatta alipata nafasi ya kuwasikilizisha hit song ya Darassa ‘Muziki’ na kuanza kucheza wimbo huo, Samatta alipost katika instagram account @samagoal77  yake kipande cha video cha wachezaji wenzake wakicheza wimbo huo

Mastaa wa KRC Genk ambao walikuwa wakicheza wimbo wa Darassa ni mjamaica Leon Bailey, Omar Colley raia wa Gambia na Sandy Walsh ambaye ana asili ya Uholanzi.


Comments