LEO NDO FAINALI KATI YA SIMBA FC VS AZAM FC

Kikosi cha Wekundu wa msimbazi Simba fc kitashuka dimbani leo katika mchezo wa fainali katika mashindano ya kombe la mapinduzi kupambana na wanarambaramba Azam fc.Mechi itaanza saa 2:15 usiku katika uwanja wa Amaan Stadium.

Comments