Hizi ni baadhi ya picha nne zinazomuonesha msanii wa hip pop chid benz alivyo kwa sasa.
Msanii huyo amezidi kuchoma baada ya kuathirika vibaya na madawa ya kulevya na kusahau kabisa kazi yake ya kuelimisha jamii kupitia nyimbo zake.
Ikumbukwe hapo mwanzo Chidd alichukuliwa na Babu Tale na kupelekwa soba iliyopo Bagamoyo lakini alitoroka na kuendelea kutumia madawa hayo yanayompelekea kupoteza fani yake na muonekano wake.

Comments
Post a Comment