Wema Sepetu aliamua kutupia picha ya jayz na beyonce kama mfano wa vazi ambalo couple yoyote inaweza kuvaa hivi
Ambapo mrembo huyo na mpenzi wake watakuwa mahost katika kuiendesha shughuli nzima ambapo msanii Christian Bella afanya show katika ukumbi wa King Solomoni ambapo mfalme huyo wa masauti atatumbuiza huku akisindikizwa na Alikiba,Linah,Mirror,Barnaba,Mauasama,Belle9 na Nandy
Comments
Post a Comment