Wanafunzi wa chuo kikuu nchini Kenya wamepata ajari katika gari aina ya noah ambayo namba zake hazikuweza kujulikana.Ajari hiyo ilitokea baada ya dereva wa gari hiyo kuendesha akiwa amelewa na akiwa spidi ambapo ilipelekea gari hiyo kukosa muelekeo na kusababisha ajari hiyo.
Wanafunzi hao ambao ni wasichana saba walifariki dunia katika gari hiyo aina ya noah baada ya kutoka katika shughuli ya white party.
Comments
Post a Comment