HUYU NDIYE KOCHA MPYA SIMBA

 Huyu ndiye kocha mpya Joseph Omog kutoka Cameroon muda mfupi baada ya kutambulishwa kwenye hotel ya regency jijini mchana huu.
Rais wa klabu ya Simba,Evans Aveva akimkabidhi jezi ya timu hiyo kocha mpya Joseph Omoj

Comments