RAY C NA LORD EYES WAKO PAMOJA TENA

Ray-C-and-Lord-Eyez
Rapa wa Kundi la Weusi amefanyiwa mahojiano na Clouds Fm nakusema amefanya kazi na mpenzi wake wa kitambo ambaye ni msanii wa bongo fleva Ray C.
Lord Eyez amethibitisha kuwa wimbo umepewa jina ‘Matatizo’ na umefanyika studio za Mangugu Digital na Producer Shaqee. Wimbo una stori kuhusu mambo tofauti tunayopitia kwenye maisha.

Comments