WEMA:SOON NITAMTAMBULISHA MCHUMBA WANGU

Hayawi Hayawi: Wema Aonyesha Pete Yake ya Uchumba
Leo katika pita pita zangu kwenye kurasa za mastaa mtandaoni nimekutana na hii picha ya madam kwenye ukurasa wa mmoja kati ya wapambe wake na kuandikiwa maneno “Ni nini Icho kwani kidolen?”.
Na wengine wakijua Ommy Dimpozi kamvisha beautiful onyinye huyo kwa siri kubwa.

Comments