Hizi ni baadhi ya picha za mrembo na staa wa Bongo Movies, Wema Sepetu hapo jana usiku katika uzinduzi rasmi wa gari la kampuni ya Mitsubishi aina ya ASX akiwa kama balozi.
Hivi karibuni Wema Sepetu na mtangazaji wa Clouds FM, Millard Ayo, walipata shavu la kutengeneza tangazo la gari hilo jipya ambapo kwenye tangazo la gari hilo, mastaa hao wenye ushawishi mkubwa wanaonekana wakisifia vitu mbalimbali vilivyomo kwenye gari hilo.
Hongera sana Wema na team yako kutoka Endless Fame
Comments
Post a Comment