Meneja wa staa na mrembo Wema Sepetu, Martin Kadinda leo anasherekea siku yake ya kuzaliwa na hiki ndicho Wema alichotoboa mara baada ya kubandika picha hiyo akiwa na Kadinda.
“I think da picture speaks for itself... My kaka Manager.....!!! I thank the good Lord for you cause only he knows wat i would’ve bin without you.... My very own Shadow... I dont call you The Man behind Wema Sepetu for nothing but because you truly are that One person standing behind me and Iam The luckiest girl to hav u nat only as a manager but also a friend... I know its nat yet your Birthday ila tu sikutaka ifike 23rd alafu tukaanza kukimbizana na birthday wishes... And pia I wanted to be the first one to ask God azidi kukuongezea siku za kuishi na akufanyie wepesi mno kwenye mambo yako... Mola unilindie na Martin wangu mimi.... I love you mimi apa... Nakupenda sana.... You always got my back.....!!!” Wema aliandika na ku mtag Kadinda.
Happy Birthday Kadinda.
Comments
Post a Comment