Mwezi February 2015 ilikuwepo story ya Tiwa Savage kufanya show kwenye stage ya akipiga zake kampeni za chama cha APC Nigeria ambapo alikuwa na members wengine wa Mavins Records, ikiwemo Boss mwenyewe Don Jazzy.
Mastaa wengi huwa tunasikia tu kwamba ni wajawazito, mara chache kuwaona hadharani ama wao kuweka wazi kwamba ni wajawazito, Tiwa Savage hajifichi, hapa kuna pichaz kutoka Uganda ambako yuko huko kwa ajili ya show mbili, ya kwanza ameifanya tayari, ujauzito unaonekana ni mkubwa lakini anapiga mzigo jukwaani kama kawaida.
Comments
Post a Comment