Siku ya leo kwenye peruzi na kudadisi inaonaneka kwa wasichana maarufu
wengi hapa bongo wanahofia kuwa mama (kubeba mimba na kujifungua), labda
kutoka na kuishi sana maisha ya kimaigizo kiasi wana ingia kwenye
mahusiano na watu wakimaigizo igizo kiasi cha kuwatisha wenyewe
kuwazalia watoto!! au ni kuhofia kupoteza mvuto katika tasnia hiyo
anayofanyia kazi!!, Hii haipo hivyo katika nchi zilizoendelea tazama
baadhi ya watu maarufu huko marekani waliokubali kubeba mimba na
kujivunia hilo jambo mbele ya majarida makubwa kwa kuweka picha zao
wakiwa watupu kabisa!!.
Kourtney Kardashian
Kelly Rowland
Alicia Keys
Britney Spears
Christina Aguilera
Mariah Carey
Au ndo mana diamond kaamua kutunguka kwa zari poleni kina wema, jokate,
na penny!! inshort hao juu ni marole model wenu na bado wamezaa kwa nini
mumchoropolee diamond vichanga vyake arghhhh!!! (kwa mujibu wa diamond mara kadhaa ametoa kisingizio hicho cha wadada hawa ndio tatizo katika kumfanya awe baba kama ali kiba).
Comments
Post a Comment