AKIONYESHA JERAHA ALILOPIGWA RISASI
Habari zinasema kuwa polisi
mkoani dar es salaam jana mchana walifanikiwa kuwatia mbaroni majambazi
wawili ambao inasemekana ni raia wa italia baada ya kupora kiasi cha
dola elfu kumi kwa mwananchi ndipo polisi walipoanza mapambano nao na
hadi kuwatia nguvuni baada ya luwadhibiti na risasi.PICHA ZOTE KWA
MSAADA MITANDAO
Comments
Post a Comment