Rapa
Kanye West
ametumia tena kurasa yake ya twitter kumpa ushirikiano mke wake katika
kusambaza baadhi ya picha mpya za Kim K akiwa mtupu kwenye photo shoot
aliyofanya hivi karibuni. Kanye West amekuwa mtu tofauti na mashabiki
walivyo tegemea baada ya kuonekana kutokerwa na maisha anayoishi Kim K
kama mapema ilivyotabiriwa kuwa atambadilisha mwanamke wake.
Comments
Post a Comment