Kutoka Mbagala Dar ndiko Hekaheka ya leo inapotokea ambayo inahusu mama aliyeolewa na kutunzwa kabati la nguo na somo wake, baada ya muda mrefu kupita akaenda kwa bibi harusi huyo na kudai kabati lake kwa madai hana fadhila.
Mama huyo amesema somo yake alimtunza
kabati lakini badae alimtuhumu kuwa hana fadhila na hajawahi kumtunza
chochote na kuamua kuchukua kabati lake kitendo kilichomkera mume wake
na kuamua kumnunulia kabati jipya na dressing table ndipo akaamua
kufanya sherehe ya kicheko.
Comments
Post a Comment