Baada ya kutumikia kifungo cha miaka sita akihukumiwa kwa kosa la kumpiga aliyekuwa girlfriend wake Rihanna, kuna maamuzi ambayo mahakama ya Los Angeles imetoa kuhusiana na hitmaker wa nyimbo ya ‘New flame‘ Chris Brown.
Ni miaka sita tangu mwanamuzi Rihanna amshtaki Chris Brown kwa kosa la kumpiga na kutumikia adhabu hiyo ambayo alikuwa katika kipindi cha majaribio na sasa yuko huru baada ya kesi yake kumalizika.
Katika kuonyesha furaha yake Chris Brown baada ya kutoka mahakamani hapo aliandika kwenye ukurasa wake wa Twitter kuwa anamshukuru Mungu kwa kuwa yupo huru.
“IM OFF PROBATION!!!!!!!! Thank the Lord!!!!!!”
Comments
Post a Comment