CYRILL KAMIKAZE AFUNGUKA KUHUSU KUMPORA BOB JUNIOR DEMU

 
Mwanamuziki Kamikaze Amefunguka kuhusu Kumnyang'anya Demu Bob Junior na Video iliyovuja akiwa na Mrembo Sabby Chumbani Huku Mrembo huyo ambae ni Demu wa Bob Junior Akijinadi Kwa kumwita Kamikaze Baby na kusema wako location wakitengeneza video yake mpya..

Comments