CHEKI PICHA ZA BIRTHDAY YA MARTIN KADINDA on March 25, 2015 Get link Facebook X Pinterest Email Other Apps Siku ya jana ilifanyika bonge la sherehe ndani ya MOG bar &restaurants zamani nyumbani lounge, ilikuwa ni meneja wa staa Wema Sepetu, Martin Kadinda alikuwa akisherekea siku yake ya kuzaliwa, Mastaa na watu wake wakaribu walikuwepo ndani ya nyumba. Comments
Comments
Post a Comment