NICK CANNON KUMUIMBIA MKEWE NYIMBO

nick-cannon-14
Rappa Na mwigizaji Nick Cannon ambaye hivi karibuni ametengana na mke wake ambaye ni msanii mariah Carey amesema hata muongelea Mariah kwenye nyimbo zake mpya.

Kupitia kurasa yake ya twitter Nick ameandika ” Sitasema kito chochote hasi kuhusu Mariah, sisi bado ni familia na tunaletwa pamoja na mapenzi, tafadhali tuheshimiane kwa hilo ” .

Maneno haya yamekuja siku chacha baada ya Producer Mally Mall kusema Nick Cannon atamuongelea Mariah kwenye album mpya. Mally Mall ndiye producer aliyewaleta pamoja Drake na Chris Brown baada ya beef ya mwaka mzima.

Comments