WAKENYA WAMTAKA DIAMOND AMRUDIE WEMA SEPETU


 Siku ya Juzi baada ya picha Diamond Platnumz kuvuja akiwa ndani ya lift akila denda na Zari The bos Lady mashabiki zake kutoka Kenya wamemjia juu Msanii huyo na kumuuliza kwa nini amuache Wema Sepetu Hizi ni baadhi ya coment kutoka kwenye Facebbok yake Msanii Diamond
Mary Mwaura: isnt true??? ati diamond dump wema sepetu to this ugadan chick...oh my GOD!!!! we are finish us ladys! please diamond dont dump wema..she left prezo 4 u...lol
Lovelyn Wa Kinyash: Diamond kwani una madame wangapiKhadija Mustafa: now who said dat evry man n woman together r dating!!???they cud jst b gud freinds or workmates!!ppo shud jst stop being so literal....n insults potrays immaturity!!riziki ya mtu ni ya mtu...huwezi iziba labda utaichelewesha tu!!

Comments