Fashion ni biashara ya neema kwa Rihanna, Instagram yake iko busy sana, kukutana na picha za lipstick, magauni, viatu na perfume ni kawaida.
Hiyo ni biashara ambayo inamlipa zaidi huenda kuliko muziki, haimaanishi kwamba ndio kauacha.
Katika rekodi za mwaka 2014, Rihanna anayo nyingine, unaambiwa gauni la mdada huyo limevunja rekodi kuwa nguo iliyotafutwa zaidi kwenye mtandao kupitia Google.
Ana nguvu kubwa kwenye fashion, huenda ndio maana Puma hawakuona hasara kusign dili na mdada huyo, 2015 unadhani atarudi kwenye muziki ama nguvu nyingi ataendelea kuiweka kwenye fashion deals kama ilivyokuwa 2014?
Comments
Post a Comment