MARIO BALLOTEL AANDIKA UJUMBE MZITO KISA KUFUNGIWA MECHI

balotelli
Mshambuliaji wa Liverpool Mario Balotelli amefungiwa mechi moja na FA kama adhabu kwa picha aliyoweka mtandaoni iliyopewa jina ‘Super Mario post“.

Balotelli hatacheza kwenye mechi ya jumapili dhidi ya Arsenal na atalipa faini ya £25,000 na kuhudhuria darasa la elimu ya mitandao.

Chini ya sheria ya  FA Namba E3(1) post ya Balotelli ilitafsiriwa kuwa ni ya kibaguzi.
baloteli

Comments