HICHI NDICHO ALICHOANDIKA MTOTO WA MAREHEMU AISHA MADINDA

Aisha Madinda
Taarifa za mazishi ya mnenguaji maarufu kwenye familia ya muziki wa dansi Tanzania Aisha Mohamed Mbegu maarufu kama ‘Aisha Madinda’ zimeahishwa kutoka na upelelezi wa Polisi unaoendelea juu ya kifo cha marehemu.
.
.
Feysal Madinda ambaye ni mtoto wa marehemu Dec 18 amepost ujumbe kwenye instagram na kuandika taarifa za kuahirishwa kwa mazishi ya mama yake Aisha Madinda ikiwemo na siku atakayozikwa endapo upelelezi utakapokamilika.
..
Pichani Marehemu enzi za uhai wake akiwa na watoto wake kushoto( Feysal Madinda na wa kike Neyma Madinda .

INNALILLAH WAINNALILLAH RAJUUUUN, NAAAAMINI DUNIANI TUNAPITA MBELE YEYE NYUMA SISI… NINGE PENDA KUTOA SHUKLAN ZANGU ZA ZATI KATI YA NDUGU JAMAAA NA MALAFIKI KWA UKARIMU MLIO UWONESHA MPAKA TYM IZI…. NILITEGEMEA TUNGEMZIKA LEO MALEHEM LAKIN IMEKUA NGUMU KUTOKANA NA SABAB ZILIZO NNJE YA UWEZO, SAMAHANINI SANA KWA USUMBUFU ULOJITOKEZA MANA KUNA WENGI WALIKUA WANAJUA TUNAZIKA LEO, NINGEPENDA SEMA KUWA TUTAMPUMZISHA KESHO BAAAADA YA SALA YA IJUMAAA NA BAAAADA YA UCHUNGUZI KUKAMILIKA…. MSIBA UPO KIGAMBONI MAENEO YA MIKADI BEACH NA MAZISHI YATAFANYIKA IO KESHO PANAPO MAJALIWA SAA 7 MCHANA #ASANTENI_SANA

Comments