WEMA SEPETU:IN MY SHOES KUANZA TENA WIKI IJAYO

Kipindi cha maisha na hustle za Wema Sepetu 'In My Shoes' msimu wa pili kinaanza tena wiki ijayo na kwenye interview niliyofanya naye Wema amesema haya mapya

1] Maboresho mengi zaidi, mwanzo ulikuwa mgumu sana, sasa nitaonyesha kila kitu kwa upana zaidi.
2] Safari zake za njee zitaonekana.

3] Anavyotengeneza pesa na dili anazofanya vitaonekana

4] Mpenzi wake Diamond ataonekana kwenye show "Episode ya kwanza atakuwepo na zinazokuja".

Show ya Wema ambaye ni Miss Tz 2006 itarushwa Ijumaa saa tatu na nusu usiku kabla ya Friday Nite Live.


Comments