PICHA ZA VIDEO MPYA YA NICKI MINAJ

Rapper Nicki Minaj aliyechukua vichwa vya habari hivi karibuni baada ya cover la wimbo wake wa Anaconda kuwa gumzo mtandaoni yupo tayari kutoa video nyingine kabla ya mwisho wa mwaka huu.

Nicki ameanza kufanya video ya wimbo wake "Only" ambao humo tunasikia sauti ya Drake, Lil Waye na Chris Brown. Wimbo huu upo kwenye album ya tatu ta Minaj inayoitwa "The PinkPrint" inayotarajiwa kutoka December 15.

Kwenye hizi picha Chris Brown hajaonekana, je hayopo kwenye video ?  hataki kuwa sehemu moja na Drake ?  ni maswali yanayosubiri majibu.
 
 
 
 
 
 

Comments