CHEKI KIPANDE KIFUPI CHA MSIMU MPYA WA IN MY SHOES

Kwa tukio hili, Wema sepetu na Diamond hakuna kinachoendelea tena. kila mtu kwaooooo!
Staa wa movie Tanzania Wema Sepetu anatarajia kuachia kipisi kingine cha show kwenye msimu mpya wa reality show yake ya ‘In my Shoes‘ itakayoanza kuonekana EATV hivi karibuni ambapo ametupa kionjo cha sekunde 39 hapa chini.

Comments