SHETTA SIWEZI KUFATILIA SWALA LA CHIDI BENZ


shettaa 


Shetta siwezi kuingilia swala la chidi benz kwani liko mahakamani na leo alikuwa akipandishwa tena mahakamani.Ila ninatakiwa kujua wamefikia wapi ila kwa sasa tuiachie mahakama  



Comments