MISS TANZANIA 2014 NI MUONGO ALOPITILIZA...SOMA HAPA CHINI


Miss Tz 2014 ana miaka 18... Ana Masters!!!!
Piga hesabu:
Siti 'The Genius Miss TZ'
Born: 1996 - mwezi hatajiju
Kindergarten: 1997 - 1999
Primary: 2000 - 2003 (proven genius so skipped from standard 2 to standard 7)
O-Level: 2003 - 2007
A-Level: 2007 - 2009
Bachelor: 2009 - 2012
Masters: 2012 - 2014 (sijui kama graduation tayari)
Miss TZ: 2014 - 2015
miss wetu genius axee
Miss tz ana miaka 18 halafu ana masters ukipiga mahesabu mwaka 1 wa masters,3 ya first degree,2 A level,4 ya O level na 7 ya elementary level means alianza darasa la kwanza na mwaka mmoja.!

Comments