JORDAN SPARKS AMPANGA KUMRUDISHIA GARI MWANAUME HUYU

The end: Derulo and Sparks dated for three years, pictured in May at the Billboard Music Awards
Baada ya wachumba wawili Jason Derulo na Jordin Sparks kupigana chini wiki kadhaa kutokana na madai ya Jodrin kuwa Jason alikuwa ana-date na msichana mwingine, sasa mwanamuziki Jordin apanga kumrudishia gari la BMW alilonunuliwa na mchumba wake huyo Jason Derulo,
Talking it out: The star appeared on The Wendy Williams Show on Wednesday

Comments