HIKI NDICHO KILICHOMKUTA WEMA HUKO...

Hii nimeitoa INSTAGRAM,
Kama mnavyojua Mwanadada Wema amekutwa na mengi sana kwenye swala la mahusiano...Siunakumbuka wadada kibao walisha mchukulia mabwna zake....kwamfano, Jokate,Penny, Kajala...nk.
Sasa AKAUNTI ya TeamUkweliNauwazi  huko INSTAGRAM imekuja na huyu, Nanukuu;
Hahah eti hawa nao wamekua mashosti tena hahahaha jamani eti ile team Ma*i mnakumbuka walimtukana weee ooh Ma*i malaya kamchukulia wema ck sijui vikapanda vikashuka mkaweka picha zake Za uch* eeeh week Nzima ilikua Ya huyu minaa jamani hahaha haya Leo eti wamekua mashoga kumkomesha kajala nyie Ma*i kweli mnachuliana mabwana mnagombana kesho mnaongea haraaaaafu yule Mama mwendawazimu wakat anaongea ule upuuzi wake pale ndani sijui kajala kamchukulia mwanangu bwana hivi hakumuona huyu mina pale maana ndio angekua mfano bora kua We mina na weww si ulimchukulia mwanangu CK wake acha unafki umefata nini hapa toka mwizi wa mabwana wa rafiki zako ... Hapo ndio tungekuona kua We Mama ni wa ukweli ! kwanza huyo ck anakuuma sana wewe badala ufurahie mwanao kaacha mume wa mtu ndio unapanik Mama wewe breeeeeeeeee......... Mama chibu mswazi lakini anajua kupretend na kuuficha uswaZi .

Comments