HII NDO KALI YA WEMA SEPETU

Ameshapiga picha nyingi sana...lakini kwa upande wangu hii ni zaidi ya zote...kwamaana kwamba ameonekana ni MSUPA zaidi....yeah!! yaani amependeza kimavazi na sehemu aliopigia ndio balaa. ukizingatia hivyo vyote na umbo lake la Curve Curve......natamka kuwa this is the BEST photo of Wema...hehehe

Naaamini wengi mtakubaliana nani....Icheki hapa!!!

Comments