Ariana Grande Na Rapper Big Sean Wadhibitisha Mapenzi Yao.

ariana-grande--z
Msanii Ariana Grande na rapper Big Sean wamethibitisha kuwa ni wapenzi baada ya kupigwa picha wakipeana busu ndani ya Universal Studios huko Hollywood, Ariana mwenye miaka 21 na Big Sean ’26’ wamekuwa wakificha mahusiano yao kwa muda sasa ila kwa sasa ushahidi wa picha umeweka wazi mambo yote.
ariana-grande-big-sean
ariana-grande-big-sean-pda-club-lead

Comments