YANGA YAIDUNGUA AZAM 3-0

Shaffih Dauda's photo. 
 Kocha wa Azam. Joseph Marius Omog.
 Shaffih Dauda's photo.
                                   Kocha wa Yanga Masio Maximo        

KIKOSI CHA AZAM FC VS YANGA
1. MWADINI ALI
2. SHOMARI KAPOMBE
3. ERASTO NYONI
4. DAVID MWANTIKA
5. AGGREY MORIS
6. BOLOU MICHAEL
7. HIMIDI MAO
8. SALUM ABUBAKAR
9. DIDIER KAVUMBAGU
10. KIPRE TCHETCHE
11. LEONEL.

Azam v Yanga. 0-3.

Wana tam tam wa Azam wameshindwa kuutoa uteja kwenye shindano la ngao ya hisani au ngao ya jamii baada ya kukubali kipigo cha mbwa mwizi toka kwa kwa mahasimu wao Yanga Afrika watoto wa Jagwani. Gelson “JAJA” awaonyesha mashabiki wa Jangwani kwamba mpira ulitokea Brazil kwa kuweka mabao mawili safi aliyoyafunga kwa ufundi mkubwa.

Kikosi cha Yanga dhidi ya Azam FC
Photo: #YangaVsAzam #NgaoYaHisani </p>

<!-- Easy AdSense V7.31 -->
<!-- [midtext: 1 urCount: 1 urMax: 0] -->
<div class= '

Kocha Marcio Maximo akimpongeza Genilson Santana 'Jaja' baada ya kufunga mabao mawili katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Azam FC mechi ya Ngao ya Jamii Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Balo lingine lilifungwa na Simon Msuva
Photo: Kikosi cha Yanga dhidi ya Azam FC
Waswahili wanasema Mtoto yake nepi, wamebana wameachia tatu bila…


Comments