Rapper French Montana ametengana na mpenzi wake Khloe Kardashian sababu ikiripotiwa kuwa Khloe bado anampenda aliyekuwa mpenzi wake mcheza kikapu maarufu Lamar Odom. Khloe na Lamar walitengana december mwaka jana mwezi wa nne ndio French Montana akamnasa Khloe.
Inasemekana Mapenzi mazito ya Lamar bado yanamsumbua Khloe ndio maana mpaka sasa anashindwa kutulia na wapenzi wapya.
Comments
Post a Comment