ORIGINAL KOMEDI WATOA MFANO KWA KUFANYA HIVI


BY nargismohamed :"Nimepata faraja kubwa leo baada ya @orijinokomedi wasanii wenzangu kuja bank kwangu CRDB microfinance insurance brokers ( A subsidiary of crdb bank) kujipatia bima zao za maisha kupitia kampuni kubwa Tanzania ya African life assurance na bima yao ya afya tena ya Gold ambayo wanatibiwa mpaka nje ya nchi (south africa,india and kenya) sasa ata wakiwa hawana alfu moja mfukoni wakiuma mradi wabima yao wanaenda hospitali yoyote iliyoko na mkataba na AAR na kupata matibabu bila usumbufu. Asanteni @orijinokomedi@orijinokomedi kwa kuonyesha kua msimu wenu mpya huu mjejijali nyinyi na familia zenu. I cant wait to see u guys back on tv. Masanja hakuwepo aliwai airport kuelekea marekani kurecord part ya vipindi vyao. Nahamasisha wasanii wote tujijali kwa bima"

Comments