Mwigizaji/Rapper Nick Cannon ambaye ni mume wa msanii Mariah Carey amesema hajawahi kutoa tamko kuhusu kutengana na Mariah. Taarifa za kutengana wa wanandoa hawa ziliripotiwa na The Insider ya Yahoo kuwa Nick ametengana na Mariah sababu ya Mariah alikerwa tabia ya Nick kuzungumzia wanawake aliowahi kuwa nao.
Nick amefunguka kupitia Twitter kuwa hajawahi kufanya mahojiano yeyote kuhusu kutengana na mke wake na kwamba bado anampenda sana.
Comments
Post a Comment