MTOTO ALIYEZALIWA NA MIGUU MI4 AFANYIWA OPERESHENI




Mtoto aliyezaliwa na mikono minne na miguu minne nchini Uganda, sasa ameondolewa viungo vilivyoongezeka katika hospitali ya Mulago nchini humo na kwa sasa anaendelea vizuri.
Miezi mitatu mtoto Paul Mukisa alizaliwa akiwa na miguu minne na mikono minne katika kijiji cha Nabigingo kaskazini mwa Uganda na baada ya wazazi Margret Awino na Boniface Okongo kuona tatizo hilo iliwalazimu kukimbilia hospitali kubwa kwa ajili matibu zaidi, na kwa bahati zuri alipofika 'mulago Hospital' alipokelewa na jopo la madaktari wa surgery wakafanya kazi yao na hadi sasa mtoto Paul anaendelea vizuri na matibabu, Mungu mkubwa

Comments