MAMADIAMOND AWAFUNGA MIDOMO WABAYA WA DIAMOND NA WEMA KWA HIKI KITU

Ikiwa ni siku ya kuzaliwa ya Wema Septu ambaye ni mpenzi a msanii wa Bongo Fleva Diamond Platnum, Wema amepokea zawadi mbali mbali kutoka kwa marafiki na Familia. Miongoni mwa zawadi zilizomshtua Wema ni kuletewa magari mawili likiwa moja kutoka kwa Diamond. Gari alilopewa Wema kutoka kwa Diamond ni Nissan Murrano Nyeusi na nyingine BMW kutoka kwa mtu ambaye bado hajatajwa.
Zawadi imeletwa kwa Wema na mama mzazi wa Diamond Platnumz. #HongeraWema Na HappyBday 
wemaa
wemaa 2
IMG_20140928_233341

Comments