KWA MSIOOA INAKUHUSU


Ikifika mwaka 2017 na bado hujaoa basi ujue
Possibility ya wewe kuoa ni ndogo sana.Sio
kwa
sababu wanawake watakuwa wameisha,LA
hasha!


Ila hutaweza ku-afford kuoa labda umtoroshee
msichana wa watu Gheto kwako uishi nae
kinyumba ,ilakuoa jasho la meno litakutoka.
Ukipeleka Ombi la kuoa ujiandae kwa gharama
zifuatazo kutoka Familia ya Bibi Harusi
Mtarajiwa:
1.Blanketi la Bibi kutoka Home Shopping
centre
vipisi viwili,rangi ya Purple
2.Blackberry Q10 ya Mshenga
3.iPhone7 Water Proof(itakuwa imetoka) ya
Baba
Mkwe
4.3-Piece-Suit ya NGOWI. kwa ajili ya Mjomba
wa
Bibi harusi aliyemsomesha Bi harusi sekondari
huko mwanalugali
5.Samsung Galaxy 9 Bold-Wipe Screen ya
Mama
wa Ubatizo wa bibi harusi
6.iPad ya Kungwi wa bi harusi
7.Koti la Single button Leather by Martin
Survivor
Kadinda kwa babu wa bi harusi kutoka Ileje
8.Mahari itajumuisha Less-Wig Brazillian Hair
kwa
mama mzaa chema,na Table sets za mninga
kutoka
Orcadeco..Hapo bado hujanunua Suti
yako,Shela
ya Bi Harusi ambaye atang’ang’ania litoke
Uturuki,na hapo ana kijacho chako cha miezi
4
kishaanza kutuna kama kitenesi,bado hujalipia
Ukumbi Mwika Social Hall,hujammalizia MC
Luvanda milioni 4 ya kuwa MC wa harusi
yako…THUBUTUU YAKO!
Ukipewa Bili TOTAL utakuwa umehamishia
mawazo
kumalizia ujenzi wako wa nyumba iliyoko Site
kule
Goba,utaona kuoa ni upotevu wa hela na
muda.
Ndugu yangu heri uoe sasa,usiwaone watu
wamechangamka kuoa hii miaka 2 ukajua ni
bahati
mbaya,WAMEONA MBALI..Ikifika 2017
utaomba
Poo,sasa hivi we jishaue kuchagua-chagua tu
Mke
wa kuoa kama uko mitumbani Karume,Heri
uoe
huyohuyo hata kama miguu yake imepinda
kama
Upinde wa Mvua itanyooka mkiwa
Honeymoon….
n mtazamoooo

Comments