Kifo kingine tena, ni Simone Battle wa X Factor kafariki.

Screen Shot 2014-09-07 at 1.08.31 AM
Simone Battle ambae alikua ni mshiriki kwenye shindano la X Factor mwaka 2011 na vilevile mwimbaji kutoka kundi la waimbaji wa kike la G.R.L amekutwa amefariki nyumbani kwake Los Angeles Marekani.
Bado chanzo cha kifo chake hakijasemwa lakini uchunguzi unaendelea zaidi kujua ni nini kilitokea na wala hakuna taarifa za ziada zilizotolewa zaidi ya hii ya kusema amekutwa amefariki nyumbani kwake.
Screen Shot 2014-09-07 at 1.18.44 AM
Screen Shot 2014-09-07 at 1.18.35 AM

Comments