BUNGE Maalum la Katiba limechafuka wakati waVMajadiliano ya Taarifa za Kamati baada ya Mbunge wa Nkasi Kaskazini (CCM), Ally Kessy
kusema Serikali ya Zanzibar inatumia fedha za Tanzania Bara kuendesha mambo yake ikiwemo kulipwa mishahara.
Wajumbe kutoka Zanzibar wamemshambulia kwa maneno makali wakidai kawavunjia heshima hali
iliyopelekea Mwenyekiti wa Bunge hilo, Samuel Sitta kuingilia kati katuliza mzozo huo.
Comments
Post a Comment