ZAGREB MTAMU MUIMBAJI WA AKUDO KACHIA VIDEO MBILI SOON

 
 Mwanamuziki wa Siku nyingi wa Band ya Akudo impact Zagreb Mtamu a.k.a Sura mvuto amekamilisha video za nyimbo zake mbili ambazo ataziachia hivi karibuni ili kusindikiza maandalizi ya album yake ya Kifua mbele ambayo anatarajia kuiachia hivi karibuni

Zagreb ambae anafanya album yake hiyo nje ya Akudo impact amesema kwa sasa anamalizia nyimbo moja na kukamilisha idaidi ya nyimbo sita lakini tayari ameshaachia wimbo mmoja radioni lakini katika kusogeza kuipush zaidi album yake hiyo ya kifua mbele, amesema kwa sasa ameshatanguliza wimbo mmoja radioni ambao ameupa jina laSAKUBA lakini pia antarajia kufanya video ya wimbo huo na wimbo mwingine katika album hiyo ni,MKE MWEMA, 

Zagreb amesema nyimbo nyingine zitakazopatikanai katika album hiyo ni pamoja ITAFIKA,AFRIKA,SELEKA,NA KIFUA MBELE ambayo inabeba jina la album hiyo ambao anasema ameifanya peke yake nje ya Akudo Impact

Comments