NYOTA wa Filamu za kibongo Wema Sepetu amesema kuwa katika maisha yake anajitahidi hakosani na mama yake mzazi, Mirium Sepetu ili kukwepa kupata laana ya kile ambacho anaweza kumtamkia na kuharibu mwelekeo mzima wa malengo yake aliyojipangia kuyatimiza akiwa ndani ya ndoa yake..
.Akizungumza na Mpekuzi, Wema alisema kuwa ndio maana kipindi ambacho mama yake hakutaka kuolewa na mchumba wake Nasibu Abdul 'Diamond' hakupenda kutumia nguvu ama uwezo wake wa kifedha kumpuuza mzazi wake kwani anaamini angemuumiza na kumfanya amtamkie maneno mabaya...
Comments
Post a Comment