Jaden na Willow Smith ni majina ya watoto wa Mastaa Jada na Will Smith wanaokamilisha usemi kuwa familia yao ni familia ya kifalme kwenye dola ya burudani.
Jaden na Willow
Jarida la Vanity Fair limewatabiria makubwa Jaden (16) na Willow (13) kuwa ni mastaa wakubwa watakaoitikisa Hollywood ‘The Next Wave Of Hollywood Stars’.
Watoto hao wamelikava jarida hilo na katika interview waliofanya wamezungumzia vitu vingi vya kiucheshi ikiwa ni pamoja na Jaden kudai hapendi kabisa kuvaa jeans, “I don’t like jeans. I like drop-crotch pants because jeans are restricting to my legs.”

Comments
Post a Comment