Wapenzi wa blog hii hususan kwa wanawake napenda kuwaelezea Sababu kuu inayopelekea mwanamke kusikia maumivu makali sehemu ya uke pindi akiwa anakula raha na mwenzi wake chumbani.
Kabla sijaanza kuelezea sababu napenda ifahamike kuwa hakuna mwanaume mwenye uume wa kumuumiza mwanamke wakati wa tendo kutokana na maumbile ya mwanamke na mwanaume katika sehemu zao za siri.
Kwa kile usicho kifahamu nikwamba njia ya uke wa mwanamke ni ndefu urefu wake unaweza kuwa sawa na urefu wa rula na istoshe njia ya mwanamke hutanuka sasa sidhani kama kuna uume unaweza kupita katika uke na ukamuumiza mwanamke labda kwa msichana ambae bado hajawah kufanya mapenzi (BIKRA) kwa mara ya kwanza anaweza kuhisi maumivu makali kutokana na kutozoea kile kitendo pia mwanaume anapoingiza uume katika uke wa mwanamke ambae ni bikra moja kwa moja anakwenda kuchana ngozi ambayo ipo kama utandu kwa mwanamke ambae ni bikra na kupelekea kupata maumivu makali kwa mwanamke huyo.
Labda kwa kuanza na sababu husika katika ukurasa huu fahamu kuwa zipo sababu nyingi zinazoweza kumfanya mwanamke kupata maumivu makali wakati wa tendo au baada ya tendo moja ya sababu hizo nikwamba mwanamke anaweza kupata maumivu makali ikiwa kama ana michubuko midogo midogo katika sehemu yake ya uke na michubuko hiyo inaweza kutokana na sababu binafsi kwa upande wa mwanamke mwenyewe katika sehemu yake husika ya uke wake.
Pia michubuko mingine inaweza kutokana na maradh madogo madogo kama fangazi za sehemu za siri kusababisha muwasho katika eneo hilo na kila anapojikuna kunatokea michubuko hiyo kama madonda madogo madogo sasa akija kukutana na mwanaume lazima atahisi maumivu kutokana na michubuko iliyopo katika uke wake.
Hizo ni sababu za kawaida, nataka niwape sababu kuu ambayo wengi hawaifahamu.
Tambua kuwa unaweza kupata maumivu makali sehemu ya uke kipindi unashiriki tendo ikiwa kama huna hisia wakati ule ni wazi kuwa endapo kama utakuwa unafanya mapenzi na mpenzi wako lakini haujisikii kufanya lile tendo ni dhahir kuwa kuna vitu vitakosekana katika maandalizi ya awali kabla ya tendo si rahisi maji maji ya uke kutoka ikiwa kama huna hamu ya tendo ambapo haya maji maji ni muhimu kwa ajili ya kulainisha eneo zima la uke.
Maji haya husaidia kusiwepo michubuko wakati wa tendo lakini kama maji maji ya kwenye uke hayatatoka ni rahisi kupata maumivu wakati wa tendo kwani uke wako utakuwa ni mkavu sasa kipindi mwanaume anachovya chovya soseji yake katika uke wako lazima kutatokea michubuko ambayo itakufanya uumie kipindi upo katika tendo au baada ya tendo pia vile vile hii ina changia hata kwa wanaume kushindwa kutumia muda mwingi kumuandaa mwanamke na kuwa na pupa ya kuwahi kuingiza uume katika kisiwa cha burudani ikiwa mpenzi wake bado hajafikia hatua za mwisho za kuingiliwa hivyo kumsababishia mwanamke maumivu makali katika uke wake.
Kwa kumalizia nawashauri wanawake wote pindi muwapo chumbani na wapenzi wenu hakikisha mawazo yako yote yanakuwa pale katika eneo husika vuta hisia kwa mpenzi wako ulie nae chumbani epuka mawazo mengine ambayo hayapo kwa wakati ule, jiamini ondoa hofu furahia penzi kwa amani.
I'm Sonja McDonell, 24, Swiss Airlines Stewardess with 13 oversea towns, very tender with much fantasies, also in my wonderful job. The girls I had in Lagos & Abuja in ma last vacations are excellent and very young. They were happy to have a foreign girl. I come again.
ReplyDeleteRegards
Sonja sonjamcdonell@yahoo.com