SAMAKI AINA YA NGUVA AKUTWA AMEKUFA PEMBEZONI MWA BAHARI
on
Get link
Facebook
X
Pinterest
Email
Other Apps
Samaki huyu adimu kabisa duniani kumtia machoni amenekana amefariki ama amekufa pembeni mwa ufukwe wa bahari huko BENIN, ujerumani. Kama ulidhani ni hadithi za kuhadihiwa tu ujue hivi vitu vipo na vinaishi!!Nguva
Comments
Post a Comment