RIHANNA:NAJISIKIA VIZURI NINAPOFANYA SHOO NA EMINEM KWANI YEYE NI CHAMPION

rihanna-eminem-grammys-03

Kwa sasa Rihanna mwenye miaka 26 yupo kwenye ziara na rapper Eminem ambayo wameipa jina The Monster Tour. Mtandao wa Hollywoodlife kuwa Rihanna anasema kufanya show na Eminem ni kufanya show na Mshindi wa Ukweli. Hii imechukuliwa kama diss kwa Drake na Chris Brown kwani ni wasanii wakubwa waliowahi kuwa na mapenzi na Rihanna.
Rihanna akizungumzia kufanya show na Eminem anasema ni muda mrefu toka amefanya show na ‘ Real Champion ‘ .Monster tour imeanza August 7.
eminem-rihanna

Comments